Rommy FUvu
KOCHA mkuu wa Simba Joseph Omog amesema anaamini kama kikosi chake kitashinda mechi tatu za Kanda ya Ziwa basi itakuwa na nafasi nzuri ya kusema inaweza kuchukua ubingwa.
ROMMY FUVU.BLOGSPOT.COM ilizungumza na kocha mkuu wa Simba Joseph Omog
ambaye amesema: “Morali yetu ipo juu lakini tunachotakiwa ni kuendelea kushinda mfululizo ili kujiweka vizuri katika nafasi yetu ya kwanza.”
“Lazima kushinda mfululizo ili kujiweka katika nafasi nzuri ya kunyakua ubingwa msimu huu.licha ya kukabiliwa na mechi ngumu,” alisema Omog.
Raia huyo wa Cameroon amesema: “Kwa sasa nina imani na kikosi changu kutokana na vijana wangu wanajituma vizuri na kufata maelekezo ambayo nawafundisha.
Simba itashuka dimbani wikiendi hii dhidi ya Mbeya City katika uwanja wa Taifa jijini Dar es
No comments:
Post a Comment