Sunday, February 19, 2017

VIDEO: Magoli ya game ya Azam FC vs Mwadui FC Feb 19 2017, Full Time 2-0


Usiku wa February 19 Azam FC walikuwa wenyeji wa Mwadui FC katika uwanja wa Azam Complex Mbande ChamaziAzam FC wakiwa katika uwanja wao wa nyumbani wamefanikiwa kupata ushindi wa goli 2-0, goli la kwanza likifungwa na Salum Aboubakar‘Sure Boy’ huku goli la pili Mwadui FC wakijifunga.

No comments:

Post a Comment