
LML – Love Melodies and Lights ni Event iliyofanyika usiku wa February 18 2017 Leaders Club na kudhihirisha kwamba kuna watu Wabunifu Tanzania wanaoweza kuandaa tukio na ukatoka umeridhika bila hata kutamani kudai chenchi.
Kwenye Red carpet AyoTV ilipata nafasi ya kuhoji mastaa mbalimbali akiwemo Linahambaye kwa sasa ni mjamzito, Navy Kenzo pamoja na Petitman, tazama ilivyokua kwa kubonyeza play hapa chini
No comments:
Post a Comment