Friday, January 27, 2017

Miss Tanzania 2010 kaingia rasmi kwenye bongofleva na hii ndio ngoma yake


Genevieve Mpangala ni Miss Tanzania 2010 na kwa time hiyo hakutuonyesha kipaji chake kingine lakini leo Dada mkuu huyu wa zamani kwenye Sekondari aliyosoma ameamua kutufungulia, unaweza kusikiliza ngoma yake mpya hapa chini na kisha usisahau kuacha comment ili akipita ajue watu wamempokeaje

VideoFUPI: Baada ya kudaiwa wameachana, Wolper amepost hii ya Harmonize


Baada ya kuwepo taarifa kwamba Jackline Wolper na Harmonize wameachana na hilo likipewa nguvu na post ya Wolper iliyoonesha hakuwa na mpango wa kuendelea tena na uhusiano wake na Harmo, leo January 27, 2017  Wolper amepost picha ya Harmonize ikiwa na maneno “Done”.
Kwenye video hiyo Harmonize anasikika akiimba wimbo wa Rich Mavoko “Ibaki Story”huku akimtaja Wolper kwenye mashairi yake, sasa kwa mujibu wa post ya Wolper inaonesha kuwa hayuko tayari kurudiana na Harmonize.
VIDEO: Maneno ya Harmonize kuhusu kuachana na Wolper, Bonyeza play kutazama

VideoMPYA: Dayna Nyange na Billnass wanatualika kutazama ‘Komela’


Mtu wangu ipokee video ya Dayna Nyange akiwa kamshirikisha Billnass,singo hii inaitwaKomela ilifanywa na Producer mwenye hits kadhaa Bongo anaitwa Mr T Touch na video yake imefanywa na Director wa Bongo pia anaitwa Ivan, ukishaitazama usisite kuacha comment yako

VIDEO: P Funk aongea baada ya kuona video ya Mapenzi iliyosambaa kwenye mitandao ikisemekana ni mtoto wake, tazama hii video hapa chini


SOMA NA HIZI

TUPIA COMMENTS

ADVERTISEMENT

VideoMPYA: Mabibi na mabwana Linah ametuletea video mpya inaitwa ‘Kosa Sina’


Ni mwimbaji wa bongofleva Linah Sanga tena kwenye TV zetu, ametusogezea burudani mpya kupitia wimbo wake wa ‘Kosa Sina‘ imefanywa na director mtanzania Khalfani Khalmandro , ukimaliza kuitazama naomba uache na comment yako iliLinah akipita ajue watu wake wamempokeaje

VIDEOP Funk aongea baada ya kuiona video iliyosambaa kwenye mitandao ikidaiwa ni mtoto wake Paula, tazama alichoongea kwenye hii video hapa chini

VIDEO: Kutana na Mtanzania anaefanana na Jay Z kimuonekano mpaka sauti


After School Bash ni tamasha ambalo huwa linafanyika kila mwisho wa mwaka na kukutanisha Wanafunzi mbalimbali na mastaa wa muziki bongoflevani, pamoja na hayo huwa kunafanyika mashindano mbalimbali ikiwemo ya hawa wanaofanana na mastaa…. Tazama hii video hapa chini kujionea

VIDEO: Tazama Watanzania wanaofafa na Diamond, Ngwea, Balotelli, Bruno Mars na wengine kwenye hii video hapa chini

VIDEO: Nyumba 1500 zinazojengwa Kigamboni na Milionea Mtanzania aliyeishia la 7


Hamidu ni Mtanzania ambaye elimu yake ni darasa la saba tu lakini hakukata tamaa sababu aliamini kufeli elimu sio kufeli maisha, akaamua kufanya kile alichoamini anakiweza na leo hii ni Milionea na ameanza kujenga kijiji cha nyumba zake 1500 Kigamboni Dar es salaam, stori yake kamili iko kwenye hii video hapa chini

AUDIO: Mfungwa Mtanzania aliyefungwa gerezani China ampigia simu Millard Ayo kutoka ndani ya gereza, aeleza yaliyomsibu…. bonyeza play hapa chini

VIDEO: Bilionea Mtanzania katoa sababu za kwanini hajanunua ndege yake binafsi, tazama kwa kubonyeza play hapa chini

ON AIR: Tazama Alikiba na Ommy Dimpoz walivyoulizana live maswali matatu


Waimbaji mastaa wa bongofleva Alikiba na Ommy Dimpoz walikaa kwenye ON AIR WITH MILLARD AYO katika kuitangaza zaidi single yao mpya ya ‘kajiandae‘ na moja ya vitu walivyofanya ni pamoja na kila mmoja kumuuliza mwenzake maswali matatu, tazama hii video hapa chini

VIDEO: Ommy Dimpoz & Alikiba – ‘Kajiandae’ itazame hapa chini

FULL VIDEO: Ulikosa kuona Alikiba alivyotumbuiza kwenye FIESTA 2016 DAR ES SALAAM? bonyeza play hapa chini

EXCLUSIVE: Mishahara ya kwanza ya mastaa wa soka Samatta, Msuva, Maguli, Himid Mao na Bossou


Leo naomba nikusogezee Exclusive TOP 5 ya mishara yao ya kwanza ya mastaa wa soka, katika TOP 5 hii yupo Mbwana Samatta anyechezea KRC Genk ya UbelgijiElias Magulianayeichezea Dhofar FC ya OmanSimon Msuva anayeichezea YangaHimid Mao waAzam FC na staa wa soka pekee wa Ligi Kuu Tanzania bara aliyewahi kucheza World Cup na AFCON Vincent Bossou anayeichezea Yanga/Togo.
”Katika soka inatakiwa uwaze kutengeneza au kujenga jina lako kwanza kabla ya kufikiria namna ya kupata pesa, mara ya kwanza nasaini mkataba wangu wa kwanza sikuwa nafikiria sana hela nililipwa dola 100 ni hela ndogo ambayo nilikuwa naweza kununua viatu na nilikuwa nikikaa nyumbani kwa wazazi” >>> Bossou

VIDEO: Ronaldo alivyokabidhiwa tuzo yake ya 4 ya Ballon d’Or 2016

VIDEO: Miss Tanzania Diana kaongea ya Miss World 2016 na alichofanyiwa na Miss Kenya


Mrembo aliyeiwakilisha Tanzania kwenye Miss World 2016 lililofanyika Washington Marekani Diana Edward, amerudi Tanzania ambapo Waandishi walimdaka Airport na akakubali kujibu maswali mbalimbali ikiwemo ishu kati yake na Miss Kenya ambaye aliingia mpaka kwenye 5 bora.

VIDEO: Alivyopatikana Miss World 2016, ni nchi moja tu ya Afrika iliingia Top 5, tazama kwenye hii video hapa chini

EXCLUSIVE: ‘Ukweli sina mimba, nilifanya vile kwa sababu’ Nisha


Siku za karibuni staa wa bongo movie Salma Jabu maarufu Nisha bebee alionekana kuwa ni mjamzito kwa madai kuwa alipata mimba hiyo mara baada ya kubakwa, leo amekubali kukaa na AyoTV katika exclusive interview na kuelezea ukweli kuwa hana mimba bali alifanya vile kwa sababu alizozitaja hapa kwenye hii video…

EXCLUSIVE: Nisha Interview kuhusu maisha, kazi na mapenzi. 

Maamuzi mapya ya Waziri Nape baada ya siku 118 toka aufunge uwanja wa Taifa


Ni siku 118 zimepita toka waziri wa habari, sanaa, utamaduni na michezo Nape Moses Nnauye kutangaza kuufungia uwanja wa Taifa Dar es Salaam kutumiwa na timu za Simba na Yanga kutokana na uharibifu uliojitokeza wakati wa game yao, leo ametangaza maamuzi mapya.
Waziri Nape leo January 27 2017 kupitia wizara yake imetolewa taarifa za kuruhusu uwanja huo kuendelea kutumika kwa club zote ambapo baada ya kujiridhisha na ukarabati uliofanywa na club hizo za Simba na Yanga hivyo mechi ya Simba na Azam FC kesho itachezwa uwanja wa Taifa.
Kama utakuwa unakumbuka vizuri waziri Nape alitangaza maamuzi ya kuufungia uwanja waTaifa Jumapili ya October 2 2016 kutokana na uharibifu na uvunjifu wa viti uliofanywa na mashabiki wakati wa mechi hiyo ikiwa ni baada ya Amissi Tambwe kuifungia Yanga goli lililotajwa kuwa la utata.

LADIES: HIZI NI DALILI 11 MPENZI WAKO ANATAKA AKUFANYE MKE WAKE


1. Huweka mipango ya baadaye
Anapoanza kuzungumza mipango yake ya baadaye, ni ishara kuwa angependa ajue mtazamo wako na mtazamo wako una uzito kwake.
2. Unaalikwa kwenye kila tukio
Unakuwa mtu wa pili kwenye kila matukio muhimu. Hii inamaanisha kuwa anakuona una umuhimu kwenye maisha yake. Anataka kukutambulisha kwa familia yake na kukufanya ujisikie kuwa na wewe ni sehemu yake.
3. Yuko Makini
Kama mpenzi wako anazingatia muda, ni lazima anakukubali sana. Pindi mwanaume anapokuwa kwenye uhusiano serious, atahakikisha kuwa mwanamke wake hamsubiri. Atahakikisha unajua kama atachelewa na hatokuchomesha mahindi.
4. Kuna ongezeko la ukaribu
Itaonekana kama mlipoanza kuwa pamoja. Mwanaume wako atakuwa karibu zaidi, kukushika mkono wakati unapika au kutumia muda kukufanyia massage wakati ukifanya kazi.
5. Anakumisi
6. Anakuona wewe pekee
Hawezi kukufanya ujisikie wivu kwa kuonesha kutamani wasichana wengine hata kama mkiwa sehemu yenye watu wengi
7. Anataka muishi pamoja
8. Hufunguka mambo mengi kwako
9. Hakimbii unapokuwa kwenye wakati mgumu
10. Hakuchoki
11. Anasema kuwa anataka kukuoa

MFANYIE MWANAMKE HAYA AKUZIDISHIE RAHA!


 MAMBO vipi ndugu zangu? Ni furaha yangu kwa mara nyingine tena kukutana nanyi wapendwa wasomaji wa blog hii. Tumshukuru Muumba wetu kwa kutujaalia uhai na afya njema, lakini zaidi ya hapo tumshukuru pia kwa kutuumbia kitu mapenzi au siyo jamani?
Siku zote hatutaacha kuzungumza juu ya mapenzi kwani ni ukweli usiopingika kwamba mapenzi ndiyo maisha yetu. 
Tunafanya kazi usiku na mchana, tunahangaika huku na huko, lakini mwisho wa siku tunafikiria jinsi gani tutapata kuboresha na kufurahia maisha na wapenzi wetu. 
Tunafikiria pia ni jinsi gani tunaweza tukapata utulivu na amani katika maisha ya kimapenzi na wapenzi wetu, waume zetu au wake zetu katika siku zote za maisha yetu.
Ndugu zangu, Mungu ametuwekea mapenzi ili tupate raha na amani katika maisha yetu.
Kwa maana hiyo, wale wanaoyachezea na kuyavuruga mapenzi kwa makusudi kwa kuumiza hisia za wenzao kisha kuwasababishia vilio si watu wa kupendeza mbele ya macho ya wale wanaojua hasa nini maana ya mapenzi. 
Wanawake ni watu wa kuheshimika na kupewa furaha wanayohitaji. Unapompata mwanamke anayekupenda na kukuheshimu, huna sababu ya kumfanya ajute kuwa na wewe. 
MPENDE NA MTHAMINI!
Yawapasa wanaume mfahamu kuwa, wanawake ni zawadi kwenu, pumziko na tulizo la mioyo yenu. Wanawake ndiyo raha na amani kubwa ya maisha yenu.
Kosa kubwa mnalofanya wanaume ni kuutumia vibaya mfumo dume hasa katika suala nyeti kama mapenzi.  Mapenzi si ubabe, mapenzi ni upole na ukarimu. 
 Pamoja na kwamba mmebarikiwa kwa kupewa nafasi ya kuwa kichwa katika nyumba lakini linapokuja suala la kurekebisha tofauti zinazojitokeza katika uhusiano wenu, si vyema kutumia njia za kibabe.
Niwaambie kitu, wanawake ni wa hisia zaidi na waliobarikiwa kuwa na upendo wa hali ya juu na ndiyo maana wakapewa dhamana ya kubeba mtoto tumboni kwa miezi tisa na pia kumnyonyesha na kumlea kwa miaka kadhaa, wewe mwanaume ungeweza?
Nasema ni watu wa hisia kwa sababu, hivi uliwahi kufikiri ni kwa nini wanawake huridhika na kujisikia poa kweli wanapopewa zawadi kama ya maua na kadi zenye ujumbe wa mapenzi ukilinganisha na wanaume? 
Unafikiri ni kwa nini wana machozi ya haraka wanapotendwa? Au unafikiri ni kwa nini wanapenda kutumiwa ‘love sms’ zaidi kuliko kupigiwa simu? Jiulize.
Mimi nawaona wanawake kama watu wa kuheshimiwa na kupendwa kwa dhati.  Mkumbuke wanawake ndiyo mama zetu, walezi wetu na ndiyo nyumba zetu. Jaribuni pia kujicontroo na huo mnaouita ukijogoo kwamba eti ninyi ni watu msioridhika na mpenzi mmoja. 
Jaribuni kufanya kila mnaloweza kuifuta ile dhana ya kwamba wanaume hawaaminiki hata kidogo. Ridhika na mpenzi uliyenaye, heshimu hisia zake na thamini mapenzi yake kwako na mpe ile kitu roho inapenda!
Ni hayo tu kwa leo.

SASABU YA WASICHANA WENGI SIKU HIZI HAWAOLEWI HEBU MCHEKI DADA HUYU ALIOVYOWEKA PICHA ZAKE NA VIDEO ALIYOWEKA MTANDAONI



MASTAA WA KIKE WA BONGO AMBAO HAWAJUI KUKATAA WANAPOTONGOZWA


Madai mazito! Kufuatia baadhi ya mastaa wa kike Bongo kuwa na tabia kila anapokuja staa wa nje kwa ajili ya kupafomu au mwanaume mwenye fedha kufanya jitihada za kumnasa kimapenzi, wanadaiwa kuwa ni ‘jamvi la wageni’ kwa kile kinachosemekana kuwa huwa wanajilengesha wenyewe, Wikienda lina listi kamili.
 Chanzo makini kimelidokeza Wikienda kuwa baadhi ya mastaa hao wamekuwa wakijilegeza kutoa penzi kwa mastaa wanaotoka nje ya nchi kwa sababu tofauti. Wengine wanaamini ni kupata umaarufu. Wengine kupata mkwanja mrefu kuliko wanaume wa hapa nyumbani na kuna wanaotaka ‘koneksheni’ za nje ya nchi. “Kiukweli Gazeti la Wikienda tunajua ninyi huwa hamuogopi kusema. Yaani hawa mastaa wa kike wamekuwa ni jamvi la wageni maana kila staa wa nje anayekuja Bongo lazima utasikia amelala na huyu mara yule, jambo ambalo linatupotezea sifa kwani tunaonekana ni washamba wanaopenda kushobokea mapenzi,” kilisema chanzo hicho na kuanika listi kamili. Bila kupepesa, chanzo hicho kilisema kuwa kuna mastaa kibao waliowahi kutajwa kwenye skendo ya kulala na staa wa nje aliyetua nchini au wanaume mapedeshee wanaotua nchini. 
LISTI KAMILI “Nawasaidia listi. Yumo Gigy Money (video queen wa Bongo, Gift Stanford) ambaye alidaiwa kulala hotelini na Mwanamuziki wa  Nigeria, Tekno Miles. “Listi nyingine ni Linah na Wizkid (alipotua mwaka jana), Shilole na Wizkid (mwaka huu), Masogange na yule mwanaume raia wa Uganda, Wema na Mshiriki wa BBA, raia wa Nigeria, Luis Mnana, Amber Lulu na Run Town na wengine wengi kama akina Wolper, Jini Kabula, Mary Mawigi, Kidoa na Lulu Diva,” kilidai chanzo hicho. Baada ya kumwagiwa ubuyu huo mzito, Wikienda lilizungumza na baadhi ya mastaa hao kuhusiana na suala hilo ambapo kila mmoja alikuwa na lake la kuzungumza. Gigy Money: “Siyo kwamba tunawashobokea hao wanaume bali mastaa wa nje ndiyo wanaotushobokea wenyewe kwa sababu mademu wa Bongo ni wazuri. Nilipolala na Tekno walinitafuta wao wenyewe. Kitu kingine hawa Wanigeria wanajua kujali sana wanawake. Pia wanaume wa kutoka nje ya Bongo wanatoa fedha nzuri na ya maana siyo kama Wabongo.” Amber Lulu: “Wanaume mastaa wa nje wanajali sana wanawake kwa kweli na wanatoa fedha nzuri siyo kama wanaume wa Bongo ambao hawako romantic ndiyo maana tunawashobokea. Nimewahi kuwa kimapenzi na staa anayejulikana kwa jina la Run Town, nili-enjoy mno.” Mary Mawigi: “Mapenzi ni popote, unaweza ukampenda yeyote hiyo ni hali ya kawaida tu haijalishi yukoje.”

Tuesday, January 24, 2017

Monday, January 23, 2017

MAMA MKUBWA


Anajina zuri sana ambalo linaweza kumvutia mwanaume yeyote yule. Sio jina tu, hata yeye ni mzuri pia! Tizama mcho yake yalivyo makubwa, rangi ya ugoro, yenye mboni ya rangi nyeusi ya kuiva. Ona midomo yake minene, tizama na nyusi zake nyeusi zilzochongwa vizuri na kumfanya zida kunivutia.
Yes! Huyu ni mwanamke kamili, hata kiuno chake kinathibitisha hilo, kimegawanyika vizuri sana, na kuacha tumbo liwe mbali na kiuno. Hipsi zake laini ndizo zinazonifanya kila nikija Msamala mkoani Songea, nikae muda mrefu kabla ya kurejea Morogoro. Sauti yake ya kimahaba tunapokuwa katika sayari ya huba nayo ni kivutio kikubwa kwangu.
Huyu ni Magrethy!
Sijui niseme nini ili mjue kwamba huyu msichana ni mzuri, lakini fahamu tu, kuwa Magrethy alifanana na jina lake. Macho yangu yapo kwenye kioo cha simu yangu ambacho kinamwonyesha Magrethy au Rethy akiwa amelala kitandani, ni pacha niliyompiga mwezi jana nilipokuja hapa Msamala kwa shughuli zangu za kibiashara.
Mzuka kwa mapenzi unanipanda ghafla, namhitaji Rethy wangu haraka sana siwezi kuteseka wakati nina mpenzi bwana...mambo gani haya? Nanyanyua simu yangu , nabonyeza namba za Rethy, baada ya muda simu inapokelewa na sauti nyororo ambayo inapunguza uhovu wangu.
''Yes Jay my love...'' Ni Rethy huyo anaongea simuni.
''Sema mrembo wangu uko wapi?'' Nilikamuuliza haraka haraka huku nikijiandaa kwa kumuambia aje kwenye Hoteli ninanofikiaga siku zote.
''Kwani wewe uko wapi jamani Jay wangu?'' 
''Waridi Hotel, pangu pa siku zote...njoo basi mpenzi wangu unipe raha....'' sauiti yangu ilidhihirisha kiu yangu ya mapenzi niliyokuwa nayo. 
''Pole sana sweetie wangu, mie nipo hospitalini, nimekuja kumtizama bibi ni mgonjwa, hata hivyo kwakuwa umekuja basi lizima kesho asubuhi na mapema nije!'' Akasema kwa sauti laini ambayo ilinizidishia maumivu.
'' Pole sana mpenzi wangu, uguza pole, lakini iyo kesho basi iwe kesho kweli!''
''Najua unanifahamu vizuri katika suala zima la kusimamia ukweli dear...lazima nitakuja!''
''Sawa!'' Tukakata simu.
********

Kama kawaida siku iyo kulikua na baridi kali kuliko siku zote. Nilivaa koti langu jeusi zuri, chini nilivaa viatu vya kisasa na suruali ya jeans ya kubana. Kimsingi nilikuwa nimependeza sana. Ni muda mfupi nilikuwa nimemaliza kula nyama ya mbuzi na ndizi choma na sasa nilikuwa nateremshia na chupa ya bia kwenye baa moja hapa Msamala mkoani Songea.

Ghafla akaja mwanamama mmoja na kuketi katika meza yangu.
Macho yake yalikuwa yanashawishi sana, ni mama wa makamo, naweza kusema kwamba alikuwa mtu mzima fulani hivi, lakini alikuwa mnene wa kiasi wenye mpangilio!
Hapo namaanisha kwamba, pamoja na unene wake, umbo lake lilikuwa namba nane.

''Samahani, kuna mtu au naweza kukaa.'' Akaniuliza lakini akiwa amekaa.
''Waweza kukaa.'' Nikamjibu.
Sitaki kumzungumzia sana huyu mama, lakini kifupi ni mama mtu mzima, lakini ni mama wa mjini, yani ni wa kisasa.
Tukaanza kunywa pamoja. Alipofika bia nne, akaniomba anisogelee zaidi kwakuwa alitaka aniulize kitu. Nikakubali.

''Naitwa Mama Kubwa, naishi hapa Msamala, sina mume, ni mfanya biashara, sijui mwenzangu naweza kukujua zaidi!?'' Akasema kwa sauti ambayo hata mtoto mdogo angejua kuwa alikuwa amelewa.
''Naitwa Jay, natokea Moro, huwa nakuja hapa kununua mahindi na kusafirisha hadi Dar ambapo nayauza kisha nikija tena naleta mabumba na kuyauza moro, mimi pia sijaoa ila nina mchumba!''
''Good! Napenda vijana wachakarikaji kama wewe. Nataka kukusaidia zaidi katika biashara zako, hasa hii ya mahindi, lakini ni vizuri kama tukizungumza sehemu tulivu zaidi. Kwani umefikia wapi?''
''Waridi Hoteli.''
''Tunaweza kwenda kuzungumzia huko.''
''Hakuna tabu.'' Tukaongozana na mama kubwa kuelekea Walidi.

Tulipofika pale Hotelini tukiwa tumeongozana na Mama kubwa, wote tulikuwa bwaksi! Tulipoingia ndani, nikashangaa Mama Kubwa akisaula nguo zake zote kisha akajibwaga kitandani. Majaribu mengine bwana...nami nikavua, nikapanda kitandani kisha tuka-duh! Usiku mzima nilikuwa naelea kwenye sayari nzuri ya mapenzi. Mh! Mama Kubwa alinitoa jasho jamani nyie acheni tu.
Asubuhi niliamka nikiwa mwepesiiii! Mara simu yangu ikaingia ujumbe mfupi wa maneno, nikaufungua haraka.
Nimeshaanza kuja sweetie sasa nakaribia kufika.''
Ilikuwa sms kutoka kwa Rethy.
Hofu ikanipanda!
Woga ukanivaa.
Itaendelea....... mda si mrefu.