Friday, January 27, 2017

Miss Tanzania 2010 kaingia rasmi kwenye bongofleva na hii ndio ngoma yake


Genevieve Mpangala ni Miss Tanzania 2010 na kwa time hiyo hakutuonyesha kipaji chake kingine lakini leo Dada mkuu huyu wa zamani kwenye Sekondari aliyosoma ameamua kutufungulia, unaweza kusikiliza ngoma yake mpya hapa chini na kisha usisahau kuacha comment ili akipita ajue watu wamempokeaje

No comments:

Post a Comment