
Ni mwimbaji wa bongofleva Linah Sanga tena kwenye TV zetu, ametusogezea burudani mpya kupitia wimbo wake wa ‘Kosa Sina‘ imefanywa na director mtanzania Khalfani Khalmandro , ukimaliza kuitazama naomba uache na comment yako iliLinah akipita ajue watu wake wamempokeaje
VIDEO: P Funk aongea baada ya kuiona video iliyosambaa kwenye mitandao ikidaiwa ni mtoto wake Paula, tazama alichoongea kwenye hii video hapa chini
No comments:
Post a Comment