 |
TANDIKA INDUSTRY ORGANITION |
Tandika Industry Organization Wachuana Vikali Kali Jana Baina Yao Na Info Radio Katika Uwanja Wa Shule Ya Msingi Majengo (Tandika , Mtwara). Uku Timu Ya Info Ya Chapika Mbili Kwa Moja Kwa Kipindi Cha Kwa Na Bao La Kwanza Kwa Upande Wa Tandika Alifunga Mkunyugu Na Bao La Pili Alifunga Na Info Radio Walirudisha Goli moja Kwa Kipindi Cha Pili Na Kukosa Ushindi Hapo Jana Mar 4 2017. Na Ilionekana Info Radio Walikuja Kwa Kasi Sana Kwa Kipindi Cha Kwanza Ila Walipunguza Mwendo Kwa Kupigwa Kombora Mbili Za Haraka Haraka Na Tandika Og..
 |
Mashabiki Wa Upande Wa Tandika Og |
"Sijategemea Kwa Ushindi Tuliopata Maana Info Radio Walijipanga Vyakutosha Na Walikuja Kwa Kasi SANA na Ata Hivyo nilipanga vizuri kikosi changu vizuri Pia Nawapongeza Wachezaji WangU kWA kujitaidi na Kucheza VIZURi Huu Mchezo, Pia Nampongeza Sana Hussein Mpiku Kwa Kucheza Kwa Kiwango Kikubwa Na Wengine Wote" Alisema Kocha Wa Tandika Industry Organization RAMA ITO.
 |
INFO RADIO LABO |
 |
Mashabiki Wa Upande Wa Tandika Og |
 |
Mashabiki Wa Upande Wa Tandika Og |
 |
Mashabiki Wa Upande Wa Tandika Og |
 |
Mashabiki Wa Upande Wa Tandika Og |
 |
Tandika Industry Wakifunga Nyavu |
No comments:
Post a Comment