June 2016 Rais John Pombe Magufuli alitangaza kuwa ni lazima Serikali yake yote kuhamia Dodoma huku akiagiza Wizara zote hadi kufikia February 28 2017 awamu yote ya kwanza iwe tayari imehamia Dodoma, Leo February 27 2017 Waziri wa mambo ya nje na ushirikiano wa A.Mashariki Dkt. Augustine Mahiga ameongea na Waandishi wa habari baada ya kutekeleza agizo hilo.
Full video ya Waziri Mahiga nimekuwekea hapa chini alipokuwa akielezea…
Nikijana mwenye umri wa miaka 25 nimkazi wa mtwara mjini nikijana anae jishugulisha na shuguri za muziki ule wa mtaani {kigodoro} lakini amepata nafasi katika ukumbi unao faamika kama polisi officerz mes
Haki miliki ya pichaGETTY IMAGESImage captionWayne Rooney
Nahodha wa Uingereza Wayne Rooney anasema kuwa atasalia katika klabu ya Manchester United baada ya kuhusishwa na uhamisho wa China.
Mchezaji huyo mwenye umri wa miaka 31 amesema kuwa anatumai kwamba atashirikishwa kamili katika mechi zilizosalia za klabu hiyo msimu huu.
Mkufunzi wa United Jose Mourinho amekataa kukana kwamba Rooney huenda akaondoka klabu hiyo mwezi huu, ijapokuwa uhamisho huo huenda usikamlike kabla ya kufungwa dirisha la uhamisho nchini China mnamo tarehe 28 Februari.
''Ni wakati wa furaha kubwa katika klabu hii na ningependa kusalia '', alisema Rooney.
Ajenti wake Paul Stretford, alisafiri kuelekea China kuona iwapo arafanikiwa kupata makubaliano, ijapokuwa haijulikani alizungumza na klabu gani.
Mbili kati ya klabu tatu zilizoonekana kuwa klabu m'badala Beijing Guoan na Jiangsu Suning, zilfutilia mbali uvumi kuhusu uhamisho huo
Haki miliki ya pichaGETTY IMAGESImage captionWachezaji wa timu ya Hull City nchini Uingereza
Bao la dakika za mwisho la Humphrey Mieno halikutosha kuwaokoa wachezaji wa timu ya Sport pesa kutoka Kenya ambao walilazwa na timu ya Hull City nchini Uingereza katika mechi ya kirafiki .
Bao la kujifunga la beki Harun Shakava katika kipindi cha pili liliigharimu Kenya ambayo ilikuwa imeahidiwa kitita cha shilingi milioni 1.1 iwapo wangeishinda timu hiyo ya Ligi ya Uingereza.
Hull City walikuwa juu kwa bao moja lililofungwa na Elliot Holmes katika dakika ya 11.
Kocha Stanley Okumbi alianzisha nyota wake wote huku mshambuliaji Allan Wanga akiongoza safu yake ya mashambulizi.
Waandalizi hatahivyo waliwasilisha wachezaji watano pekee kutoka kikosi cha kwanza Josh Tymon,Greg Olley,Max Sheaf,Greg Luer na Jarrod Bowen.
Daan Windas ambaye mchezo wake 2008 uliisaidia timu hiyo kupanda daraja alichezeshwa kama mchezaji wa ziada.
Haki miliki ya pichaGOOGLEImage captionTimu Azania Group
Timu ya Azania Group, ndiyo itakayowakilisha Tanzania katika mashindano ya kikanda ya Afrika Mashariki, ya Benki ya "Standard Chartered-Road to Anfield" yatakaofanyika uwanja wa Jakaya Kikwete Youth Park Jumamosi, Machi 4.
Azania walipata ushindi huo kwa kuichakaza timu ya H&R Consultancy mabao ya 6-5 kwa penati dhidi ya katika mchezo wa kukata na shoka uliofanyika mwishoni mwa wiki na kufanikiwa kuipeperusha bendera ya Tanzania.
Kwa maana hiyo, Azania Group wanatarajia kumenyana uso kwa uso na washindi wa michuano hiyo kutoka nchi za Kenya na Uganda.
Washindi wa michuano hiyo nchini Uganda ni timu ya Cocacola wakati kidedea wa kombe hilo nchini Kenya ni Radio ya Capital FM.
Goli la kwanza la Jamie Vadry limekumbusha mtindo waliokuwa wakicheza msimu uliopita, baada ya pasi murua kutoka kwa Marc Albrighton iliyomfikia Vardy.
Magoli haya ya Leicester ndio magoli ya kwanza kwa klabu hiyo kufunga mwaka huu wa 2017.
Liverpool ambao wangeweza kupanda hadi nafasi ya tatu iwapo wangepata ushindi, sasa wamepoteza mechi tano kati ya saba walizocheza katika michuano yote
Timu inayoshirikisha wachezaji wa Kenya kutoka ligi ya soka ya taifa hilo Watacheza mechi ya kirafiki dhidi ya Klabu ya Uingereza Hull City.
Mechi hiyo inayofadhiliwa na SportPesa- kampuni ya kamare kutoka Kenya ilioshinda haki ya kuifadhili timu hiyo ya Uingereza kwa kipindi cha miaka mitatu ijayo.
Timu ya Kenya yenye wachezaji 18 imepiga kambi katika maeneo ya Kaskazini mwa Uingereza tangu wiki iliopita ikijifunza mbinu tofauti za soka ya kulipwa.
Siku ya Jumapili Hull City walicheza dhidi ya Burnley ambapo walitoka sare ya 1-1.
Kocha wa timu ya taifa ya Kenya Stanley Okumbi anasema kuwa wachezaji wa Kenya wamenufaika sana na ziara hiyo.
Image captionKocha wa Kenya Stanley Okumbi kuiongoza Kenya dhidi ya Hull City
''Wachezaji wamenufaiki sana na mazoezi na wamepata ujuzi chungu nzima ambao watautumia katika siku za usoni na katika mechi dhidi ya Hull City''.
Rais wa shirikisho la soka duniani Fifa Giani Infantino amesema kuwa Afrika itapewa nafasi 7 katika upanuzi wa timu zitakazoshiriki katika kombe la dunia 2026.
Infantino amesema kuwa shirikisho hilo limeongeza uwekezaji wake Afrika kutoka dola milioni 27 hadi 94 kwa mwaka ili kusaidia kukuza mchezo huo.
Giani Infantino yuko nchini Ghana kwa ziara ya siku moja.
Haki miliki ya pichaEPAImage captionMshambuliaji wa manchester United Zlatan Ibrahimovic
Mkufunzi wa klabu ya Manchester United Jose Mourinho anamtaka mshambuliaji wa klabu hiyo Zlatan Ibrahimovic kusalia katika klabu hiyo kwa mwaka mwengine mmoja.
Ibrahimovic mwenye umri wa miaka 35 alijiunga na Manchester United akiwa mchezaji huru kutoka Paris-St Germain kwa kipindi cha msimu mmoja huku akiwa na nafasi ya kuongeza kandarasi yake.
Raia huyo wa Sweden amefunga magoli 26 katika mechi 38 msimu huu,zikiwemo bao mbili katika ushindi wa kombe la EFL dhidi ya Southampton.
''Sote tunataka asalie na tunaamini atafanya hivyo kwa msimu mwengine mmoja'', alisema mkufunzi huyo.
Ibrahimovic alibeba kombe lake la 32 katika kipindi chake chote cha soka baada ya kufunga bao la dakika 87 katika uwanja wa Wembley .
Katika kipindi hicho Manolo Gabiadiani aliifungia Saints mabao mawili baada ya Jesse Lingard kuiweka Red Devils ikiwa inaongoza kwa 2-0.
Mourinho aliongezea: Sipendelei kum'bembeleza mchezaji kutia saini kandarasi mpya ama kunichezea.Wakati Zlatan alipoelekea Barcelona kutoka Inter Milan nilihisi vibaya sana.Lakini iwapo anahitajika mashabiki wanaweza kwenda hadi mlangoni kwake kupiga kambi usiku kucha.
Haki miliki ya pichaGETTY IMAGESImage captionManchester United waliilaza Souythampton mabao 2-1 ili kushinda kombe la EFL
Mshambuliaji wa Manchesater United Zlatan Ibrahimovic alifunga bao la ushindi dakika za mwisho na kumpatia mkufunzi wa Manchester United Jose Mourinho kombe lake la kwanza tangu ajiunge na klabu hiyo kwa kuishinda Southampton.
Southampton walionyesha mchezo mzuri wakati wa mechi hiyo lakini wakavunjwa moyo na uamuzi wa utata uliompa bao la ushindi raia huyo wa Sweden mwenye umri wa miaka 35.
Haki miliki ya pichaREX FEATURESImage captionWachezaji wa Southampton wakisherehekea bao la Manolo Gabbiadiani
Mshambuliaji wa Saints Manolo Gabbiadiani alifunga bao lililokataliwa kabla ya Manchester United kupata bao la pili kupitia Ibrahimovic kunako dakika 19 kabla ya Jesse Lingard kufunga ikiwa imesalia dakika saba mechi kukamilika.
Southampton ilifunga mabao yake mawili kupitia Gabbiadiani katika vipindi vyote viwili vya mechi.
Haki miliki ya pichaGETTY IMAGESImage captionZlatan Ibrahimovic
Oriel Romeu alipiga mwamba wa goli kabla ya Ibrahimovic kufunga kupitia krosi iliopigwa na Anders Herrea dakika tatu kabla ya mechi kukamilika na hivyobasi kuipatia ushindi Manchester United.
Haki miliki ya pichaAFPImage captionWatalii wawili kwenda mwezini 2018
Kampuni ya kibinafsi ya kurusha roketi imetangaza kwamba watalii wawili wamelipa kupelekwa mwezini.
Safari hiyo itafanyika 2018 kulingana na mkurugenzi mkuu wa kampuni ya SpaceX Elon Musk, alieongezea kwamba watalii hao tayari wamelipa kiasi fulani cha fedha.
''Hatua hiyo inatoa fursa kwa binaadamu kurudi katika anga za juu kwa mara ya kwanza katika kipindi cha miaka 45'',alisema.
Wawili hao ambao majina yao hayakutajwa wataelekea mwezini wakiwa katika meli hiyo ya angani ambayo itafanyiwa jaribio lake la kwanza la kurusha rekoti isiokuwa na rubani.
Bwana Musk alisema kuwa ushirikiano wa shirika la sayansi na teknolojia ya angani nchini Marekani Nasa umefanya ufanisi wa safari hiyo.
Haki miliki ya pichaREUTERSImage captionRoketi itakayotumika kuwasafirisha watalii hao
Amesema kuwa abiria hao wawili watasafirishwa kwa kasi zaidi ya watu wengine wowote kuwahi kusafirishwa katika sayari.
Bwana Musk hatahivyo amekataa kuwataja abiria hao wawili ,akisema kwamba ni watu wanaojuana na kwamba hawatoki Hollywood.
Image captionMrithi wa Samsung ahstakiwa mahakamni kwa tuhuma za kutoa hongo ili kupata usaidizi serikalini
Mrithi wa kampuni tajiri zaidi nchini Korea Kusini, Samsung, atafikishwa mahakamani kwa madai ya kutoa hongo na ubadhirifu wa pesa, katika sakata kubwa inayoendelea kutokota, ambayo pia imesababisha kutimuliwa kwa rais, Park Guen-hye.
Mwendesha mashtaka maalum amesema kwamba, Lee Jay-yong, pamoja na wakuu wengine wanne wa Samsung watashtakiwa.
Image captionKampuni ya Samsung
Bwana Lee, aliyekamatwa mapema mwezi huu, anashtakiwa kwa madai ya kutoa hongo ya takriban dola milioni 40, kwa mshirika wa karibu wa rais wa zamani, ili kupata usaidizi wa kisiasa.
Fedha hizo zitapatikana kwa kupunguza bajeti za programu zisizo za kijeshi, ikiwemo misaada ya kigeni na fedha zinazotumiwa kwa utunzi wa mazingira.
Mipango hiyo itawasilishwa kwa bunge la Congress mwezi ujao.
Wakati huo huo idara ya ulinzi imewasilisha kwa White House, mipango ya kulishinda kundi la Islamic State ambayo Rais Trump alikuwa ameitaka idara hiyo kuishughulikia.
Haki miliki ya pichaGETTY IMAGESImage captionMarekana inatumia fedha nyingi zaidi kwa ulinzi kuliko nchi yoyote
Usiku wa February 26 2017 ndio majibu yalipatikana nani anastahili kuwa Bingwa wa EFL Cup 2017 kati ya Man United dhidi ya Southampton, kwa mujibu wa mitandao mingi ya England hiyo ilikuwa ni game inayozikutanisha timu bora Southampton na Man Unitedambao wanawachezaji bora.
Man United imefanikiwa kupata ushindi wa goli 3-2 katika game hiyo ya fainali, Zlatan Ibrahimovic anaibuka kuwa shujaa wa Man United baada ya kufunga goli dakika ya 19 na dakika ya 87 kufunga goli lililoipa ushindi Man United, huku Jesse Lingard akiifungia Man United goli la pili dakika ya 39.
Licha ya Southampton kuonesha jitihada za kusaka ushindi na kufanikiwa kusawazisha goli mbili za mwanzo kupitia kwa Manolo Gabbiadini dakika ya 45 na 49 na kuutawala mchezo kwa asilimia 52 na Man United asilimia 48, haikusaidia Southampton kupata ushindi.
ALL GOAL: SIMBA VS YANGA FEBRUARY 25 2017, FULL TIME 2-1