Monday, January 23, 2017

AudioMPYA: Dully Sykes katuletea hii single yake mpya ‘Yono’


Legend wa bongofleva Dully Sykes kauanza mpya 2017 na huu mdundo mpya uitwaoYono, wimbo umetayarishwa katika studio za 4.12.
Ukishaisikiliza single hiyo mpya hapa chini usiache kutoa comment yako ili akipita ajue watu wake mnasemaje.

No comments:

Post a Comment